Skip to main content

Posts

Featured

Jinsi ya kufanya Kilimo Bora cha Karoti

  Karoti ni Nini? Karoti kwa jina la kisayansi inajulikana kama  Daucus carota . Ni miongoni mwa mazao kadhaa ya bustani (mbogamboga) yenye thamani kubwa kwa sasa hapa nchini na duniani kote. Kilimo cha karoti huhitaji uangalizi mdogo sana hivyo kuifanya kuwa miongoni mwa mazao yanayoweza kusimamiwa hata na mtu ambaye ana shughuli nyingi nyinginezo ukilinganisha na  mazao mengine ya mboga mboga . Zao la karoti ni zao la  jamii ya mzizi , kwa kawaida hupatikana katika rangi ya machungwa, zambarau, nyeusi, nyekundu, nyeupe na njano. Karoti ni aina ya mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. Zao hili linalimwa maeneo mengi sana nchini ikiwa pamoja na Mbeya, Morogoro (maeneo ya Uluguru na Mgeta), Iringa, Kilimanjaro na  Kagera. Kilimo bora cha Viazi Vitamu (Sweet potatoes) Muongozo wa Kilimo Bora Cha Mihogo Jinsi ya kufanya Kilimo Bora cha Karoti Wadudu na Magonjwa ya Mihogo Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo Aina Za Karoti Zinazolimwa Hapa Tanzania Nantes Aina hii in

Latest Posts

Je unamfahamu mdudu huyu hatari kwa maharage?