KILIMO BORA CHA PARETO/ PYRETRUM



UTANGULIZI
Pareto ni  moja kati ya zao ambalo hulimwa tanzania, na hua ni zao jamii ya ua na utumika kutengenezea dawa za kuuwa wadudu shambani(insecticide) hujulikana kama pyrethtin.

UDONGO NA HALI YA HEWA
Pareto hukua na kusitawi vizurei katika maeneo yenye mvua za kutosha, huitaji mvua kiasi  cha 1250 mm kwa mwaka na mvua hutakiwa kunyesha vizuri ndani ya mwaka. pareto hukua vizuri katika maeneo yenye mwinuko 1500m kutoka usawa wa bahari na maeneo hayo hua na hari ya ubaridi, kwa hapa tanzania hufanya vizuri katika mikoa ya iringa, arusha, mbeya na njombe.
pareto husitawi vizuri katika udongo wenye rutuba kidogo, inapoo pandwa katika udongo wenye rutuba nyingi hutengeneza mizizi mingi na mashina mengi lakini maua hua machache sana, ardhi pia iwe na unyevu lakini isiyo tuamisha maji kwa kua pareto haiimili aridhi inayo tuamisha maji.

KUPANDA.
Miche ya kupanda hukuziwa kwenye kitaru, andaa vitaru vilivyo nyanyuka na kila kitarui hutakiwa kua na ukubwa wa 1.5m na tifua vizuri, acha upenyo wa 60cm katika kila vitaru viwili.
baada ya hapo weka mbolea  ya nitrogen na phosphate katika kitaru na changanya vizuri na udongo.
wasiliana na mtaalamu ili kufahamu mengi ZAIDI
au unaweza kutembelea ukurasa wetu kwa kubofya HAPA

KUANDAA SHAMBA
Kama kuna magugu hakikisha umeyaondoa yote na mizizi yake na tengeneza matuta kwaajili ya kupanda.

KUPALILIA
Tumiam jembe aina ya machaku katika kupalilia na hakikisha haugusi mizizi ya mmea

MBOLEA
Tumia superphosephate wakati wakupanda na changanya vizuri na udongo kwenye shimo, na wasiliana nasi ili kufahamu zaidi

Comments

Popular Posts