
MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA WAKATI WA KUKAUSHA MBOGA ZA MAJANI NI IFUATAVYO:
- Chuma mboga nyingi katika bustani yako. Hajalishi ni mboga za aina gani.
- Hatua inayofuata ikatekate vipande vidogo vidogo.
- Baada ya hapo chemsha katika maji ya moto. Lakini jambo la kuzingatia ni kwamba chemsha mpaka ibadili rangi yake, isiwe katika hali ya ukijani.
- Mara baada ya kuchemka na kujiridhisha kwamba imeiva vizuri. Epuka kisha subiri kwa muda fulani mpaka ipoe vizuri.
- Ikisha poa vizuri chukua kitu ambacho kitakusaidia kuianika mboga hiyo mpaka ikauke vizuri.
- Mara baada ya kukauka vizuri ni kwamba unaweza ukaiifadhi sehemu safi ili ije kuliwa hapo baadae.
No comments:
Post a Comment