Sunday, February 15, 2026

UNASWALI? UNAWEZA KULIZA NA UTAANDIKWA MOJA KWA MOJA NA MKULIMA JEMBE TUMA SMS +255756 483 174



Je, wewe ni mkulima, mfanyabiashara wa mazao, muuzaji wa pembejeo, mtoa huduma za kilimo au mdau wa sekta ya kilimo?

MKULIMA JEMBE BLOG ni jukwaa sahihi kwako!


MKULIMA JEMBE NI NANI?


Mkulima Jembe Blog ni jukwaa la kisasa la kilimo linalosomwa na wasomaji wa kimataifa likiwafikia wakulima, wafanyabiashara, wataalamu wa kilimo, wawekezaji na wadau wa maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi.


Tunaleta makala zenye:

    Elimu ya kilimo cha kisasa

    Fursa za masoko

    Teknolojia za kilimo

   Ujasiriamali wa kilimo

   Mafanikio ya wakulima


Hii si blog ya kawaida — ni  daraja linalowaunganisha wakulima na dunia.



   TANGAZA BIASHARA YAKO NASI!


Je, unataka:

    Kutangaza mazao yako?

   Kuuza pembejeo au mashine za kilimo?

   Kutangaza shamba lako au bidhaa zako?

   Kuandika makala ya kitaalamu au ya kibiashara?

   Kujenga jina (brand) yako kimataifa?


MKULIMA JEMBE BLOG tunakupa nafasi ya kufanya hivyo kwa njia ya:


      Makala maalum za kibiashara

      Matangazo ya bidhaa na huduma

      Uhamasishaji wa miradi ya kilimo

     Kufikia soko la ndani na la kimataifa


 FAIDA ZA KUTANGAZA NASI


      Unafikia wasomaji wa kimataifa

     Unaongeza wateja na mauzo

     Unajenga uaminifu wa biashara yako

    Unapanua mtandao wa wadau wa kilimo

    Unapata jukwaa la kuelimisha na kuvutia wawekezaji


Hii ni nafasi ya kukuza biashara yako kupitia nguvu ya habari na mtandao.


 WASILIANA NASI LEO


Kwa wakulima, wafanyabiashara na wadau wanaotaka kutangaza nasi kwa njia ya makala au matangazo mengine:


Piga Simu: +255756 483 174


Usikose nafasi ya kuonekana, kusikika na kuaminika kupitia jukwaa lenye hadhi ya kimataifa.


 ðŸŒ¾ MKULIMA JEMBE BLOG

Kilimo ni Biashara – Kilimo ni Ajira – Kilimo ni Maendeleo.


Jiunge nasi leo Mkulima jembe..Ni juhudi zetu vijiji kuwa miji


No comments:

Post a Comment